2.Bahari kutokana na mpangilio wa maneno.
Vile maneno yalivyopangwa katika shairi twaweza tukapata makundi ya kibahari kama:
i).kikwamba.
Neno moja kuanzia kila mshororo.
1. Kweli..........., ...........
Kweli..........., ...........
Kweli..........., ...........
2. Kweli............, ...........
Kweli............, ...........
Kweli............, ..........
ii) pindu
Neno la mwisho utao kuanzisha ukwapi mshororo unaofuata.
1. ........................, ........kweli
Kweli.............., .......duniya
Duniya..........., ........duala
Duala.............., ........tulia
2. Tulia..............., .........tajikwaa
Tajikwaa........, .........upotee
Upotee............, .........tukusahau
Tukusahau....., ............sote
Comments
Post a Comment