4.Bahari kutokana na urefu wa mishororo
i). msuko
Mshororo wa mwisho huwa mfupi kuliko mingine
1. .................., ..................
.................., ..................
.................., ..................
........., ........
2. ..................., ..................
...................., ..................
...................., ..................
..........., ..........
ii)sakarani
Iwapo ushairi utaingia katika bahari zaidi ya moja tunauita sakarani.
Comments
Post a Comment