Aina za ushairi
Kuna aina mbili kuu za ushairi ambazo ni
1.ushairi huru/mapingiti/mavue/
kimapinduzi
2.mashairi ya kiarudhi/kimapokeo
Mashairi ya kiarudhi pia yamegawanyika katika makundi mbali mbali kutegemea idadi ya mishororo katika beti
Mishororo
1….….…............tathmina 2........................tathnia
3........................tathlitha
4........................tarbia
5.......…..............takmisa
6........................tasdisa
7........................tasbia
8........................naudi
9........................teremania
10........................ukumi
Comments
Post a Comment