TONI KATIKA USHAIRI

Toni ni hisia zinazopatikana/zinazojitokeza kutokana na uchaguzi wa maneno alioufanya mshairi ambazo zaweza kuwa chanya au hasi.

Hisia zikiwa chanya kama vile za furaha,humfanya mshairi kushukuru-toni ya shukrani,kusifu-toni ya kusifia,Toni ya kushajiisha au kupongeza hali au jambo Fulani linalomfurahisha.

Hisia zikiwa hasi kama vile za kudhulumiwa,kunyanyaswa,kudunishwa au kudharauliwa huwa zinampa mshairi Toni ya kulalamika,kuteta,kukejeli,kukaripia,kulaani,kusuta,kudunisha,kushauri,kuelekeza au kupuuza hali au jambo Fulani linalompa hisia hasi. 

Maswali
Kutambua Toni katika ushairi mbalimbali.

1.

2.
3.
 

Comments

Popular Posts